AfyaKanda ya KusiniMtwarawajasiriamali kinamama

Mamalishe soko kuu Mtwara wapaza sauti kero ya taka, kutothaminiwa

Baadhi ya wanawake wanaojishughulisha na biashara ya mamalishe katika soko kuu la Mtwara wakipikia katika chochoro za soko hilo.Wanawake hao wanakabiliwa na changamoto ya kutokutengewa eneo la kupika sokoni hapo

Mama lishe wanaofanya shughuli zao katika soko kuu la mjini Mtwara wamelalamikia  kitendo cha kutozolewa  taka kwa wakati katika maeneo yao licha ya kutozwa ushuru hali inayowalazimu kuzipeleka wenyewe kwenye dampo ambapo nako hutozwa gharama mara mbili.

Akizungumzia hali hiyo kiongozi wa jumuiya ya wafanyabiashara wa sokoni hapo amesema kitendo hicho ni uonevu kwa mama lishe hao kama kweli wanatozwa mara mbili pasipokupatiwa huduma.

Kuhusu malalamiko hayo uongozi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani umezungumzia hali halisi ya soko na kinachofanyika.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close